TP
TilesPoa Zanzibar

Flow ya mteja wa TilesPoa

Hatua kwa hatua

Chagua tiles unazopenda, zihifadhi au share, kisha tupigie au tuandikie WhatsApp tukusaidie.

  1. Chagua tile unayoitaka kwenye app, kisha fungua maelezo na hesabu ya chumba.
  2. Like au hifadhi tiles unazopenda kwenye wishlist.
  3. Tupigie au tuandikie WhatsApp kuthibitisha stock, bei na duka lilipo.
  4. Tembelea duka tulilokuelekeza au panga delivery na timu yetu.

Bei na mawasiliano

Bei ya maduka mengine

Bei yetu TilesPoa

Thibitisha nasi

Tupigie au tuandikie WhatsApp kuthibitisha bei na stock kabla ya kwenda dukani.

Maduka yetu Zanzibar

Tunapatikana maeneo mengi kwa urahisi wa kuchukua oda yako:

MagomeniKwapwezaKwawazeeGulioniMpendaeDarajabovuKisauni